STAND YA MABASI YA MIKOANI MBEZI MBIONI KUKAMILIKA
Ujenzi wa stendi mpya ya mabasi yaendayo mikoani na nchi za jirani katika eneo la Mbezi Luis jijini Dar es salaam unaoigharimu Serikali shilingi Bilioni 50.9 umefikia asilimia 57 na umebakiza miezi minne kukabidhiwa.
Ambapo mkandarasi aliyepewa kazi hiyo ya ujenzi wa stendi kutoka Kampuni ya Hainan International ya China ametakiwa kuongeza kasi ili kufikia lengo lililowekwa na serikali.

Comments
Post a Comment