nurse ateka hisia za watu china


Moja ya matukio ambayo yamegusa hisia za Watu kwenye msimu huu wa ‘Mapenzi Shatashata’ ni hili la Nurse Chen Ying ambaye anafanya kazi kwenye Hospitali moja iliyotengwa maalum kwa ajili ya kuwahudumia waaathirika wa virusi vya Corona China, kumkiss Mpenzi wake kupitia ukuta wa kioo.

Unaambiwa kutokana na Nurse kuwa busy na majukumu wawili hao walikaa siku 11 bila kuonana, na licha ya kanuni za afya kuwazuia kugusana kwao haikuwa changamoto wakakiss kupitia ukuta wa kioo huku wakiambiana maneno mazuri kupitia simu zao.

Wamepanga kufunga ndoa pindi tu mlipuko wa virusi vya Corona ukiisha.


Comments