Rais TFF awapongeza yanga


Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amewapongeza Viongozi wapya wa Klabu ya Young Africans kwa kuchaguliwa kuiongoza klabu hiyo kwa kipindi cha miaka minne (4) na TFF itashirikiana na Viongozi hao katika maendeleo ya Mpira wa Miguu.


Comments