Matola: tuliwasoma yanga kitambo

Kocha mkuu wa klabu ya Lipuli FC ameelezaa kuwa " mchezo wao na yanga ilikuwa ni lazima kwa lipuli kuweza kushinda mchezo wao"
Aidha matola anaeleza kuwa walikuwa wakifuatilia michezo yote ya yanga na kuweza kubaini mbinu zao.



Matola amewaeleza mashabiki na wapenzi wa lipuli FC kuwa wamejipanga vizuri kuchukua kombe la Azam Sports Federation Cup ASFC. Pia kuweza kucheza mashindano ya kimataifa.

Comments