Kapombe, Wawa kuiua coastal union taifa
Shomari Kapombe pamoja na Pascal Wawa wataiongoza simba katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union katika uwanja wa taifa.
Wawili hawa walikuwa majeruhi Sasa wamerejea na kuimarisha kikosi hicho cha wekundu wa msimbazi. Kapombe amerejea rasmi dimbani baada ya kupata majeruhi kwa Muda mrefu akiwa na timu ya taifa


Comments
Post a Comment